Header Ads

Breaking News
recent

fahamu kuhusu mazingira

Mazingira ni jumla ya mambo yote yanayomzuguka kiumbe katika maisha yake. Kwa hiyo kila unacho kiona katika maisha ni mazingira yako.
Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali; yanaweza kuwa ya asili (kama misitumilimamaziwamabondemito,bahari n.k.) au ya kutengenezwa na binadamu (kama majengoviwanda n.k.).
Hivyo tunapaswa tuwe makini katika kujenga mazingira yetu kwa sababu vitu vingine huyaharibu, kama vile uchafuzi wa hewauchafuzi wa bahariuchafuzi wa ardhi, n.k. Tunapaswa kutunza mazingira yetu kwa sababu hali ya kilimo na ufugaji si nzuri, hivyo basi tupande miti kwa wingi, tutunze vyanzo vyetu vya maji, na kutumiamaji vizuri, hasa katika shughuli za kilimo, ili kuliepuka tatizo hili, na pia kumtanguliza Mungu katika kazi zetu za kilimo na ufugaji za kila siku.
Mazingira yanaweza kuhusu:
Katika sayansi ya kompyuta:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.